The United Republic of Tanzania

TANZANIA INVESTMENT CENTRE

Wawekezaji wa nchi ya Uingereza waliowekeza nchini wamezungumza na Serikali kupitia Mdahalo wa Uwekezaji

June 2019: Kuboresha mazingira ya uwekezaji ni mkakati endelevu wa Serikali ili kuwezesha wawekezaji waliopo nchini kufanya uwekezaji wao kwenye mazingira rafiki na pia itasaidia kuvutia wawekezaji wapya. Hayo yamezungumzwa Mei 29, 2019, katika ukumbi wa mikutano wa Coral Beach Hoteli, Dar es Salaam na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji Mhe. Angellah Kairuki wakati wa ushiriki wake kama mgeni rasmi kwenye mdahalo wa uwekezaji kati ya Serikali na wawekezaji wa Uingereza waliowekeza nchini. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde pia ameshiriki mdahalo.

Mdahalo huo ni wa pili kufuatia wa China uliofanyika mwezi Aprili, 2019. Lengo ni kuwezesha wawekezaji kuwasilisha kwa Serikali moja kwa moja kero/changamoto wanazokumbana nazo na pengine kukwamisha utekelezaji wa majukumu yao nchini. Vilevile kupitia mdahalo huo wawekezaji....

2019-06-07 18:22:52Tanzania sio nchi pekee inayovutia wawekezaji duniani, tufanikishe uwekezaji

 Juni, 2019: Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Geoffrey Mwambe amefanya mazungumzo na  Mhe. Dkt. Ulisubisya Mpoki kenye ofisi za Mako makuu ya TIC Dar es Salaam. Dkt. Mpoki ameteuliwa hivi karibuni na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada.

Ujio wa Dkt. Mpoki TIC umekuja baada ya kuapishwa ili kubadilishana mawazo na uongozi kwa lengo la kupata mwelekeo/mwongozo zaidi wa masuala ya uwekezaji anapokusudia kwenda kutekeleza majukumu yake  nchini Canada.  Aidha Mhe. Balozi ametembelea Kituo ili  kupata taarifa na elimu zaidi juu ya namna ambavyo ofisi ya ubalozi wetu huko Canada inaweza kusaidiana na Kituo katika kuvutia, kuendesha na kusimamia masuala ya uwekezaji  kwa maslahi ya Taifa.

Mhe. Balozi ameahidi kufanya kazi karibu na Kituo ili....

2019-06-07 18:13:06Tanzania Investment Centre is pleased to invite you to the Tanzania Cashew nuts Forum in Mtwara, to be held on July 12 – 13, 2019.

On behalf of the Government of the United Republic of Tanzania, The Tanzania Investment Centre is pleased to invite you to the Tanzania Cashew nuts Forum in Mtwara, to be held on July 12 – 13, 2019, under the patronage of His Excellence the President of the United Republic of Tanzania, Dr. John Pombe Magufuli.

The Forum will take place at the Bank of Tanzania Conference Hall in Mtwara Branch, and aims to attract potential investors from outside Tanzania as well as domestic investors interested in establishing cashew nuts processing projects as well as industrial parks in Tanzania and more specifically in Lindi and Mtwara regions.

Tanzania is among the World’s largest producer of Raw Cashew Nuts (RCN), whereby during 2017/18, it realized a total production....

2019-05-30 11:32:32Tanzania - China Business Forum Arusha International Conference Centre (AICC) – 13th May 2019

Tanzania Investment Center (TIC) in collaboration with the Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) and Tanzania Tourism Board (TTB) is preparing a Business and Investment Forum between Tanzanian entrepreneurs and their counterparts from China, who expect to visit the country for tourism and to explore business and investment opportunities.

The forum is scheduled to take place on 13th May, 2019 at the Arusha International Conference Center (AICC) in Arusha at 8:00am.

The targeted sectors are mining and Tourism.

Interested participants are required to confirm their participation not later than 10th May, 2019.  For further details and registration, please contact Ms. Diana Ladislaus Cell. No. 0719653079 email: [email protected] or Mr. Juventus Baitu Cell. No. 0621153276 email: [email protected]

Issued by:

The Executive Director,

Tanzania Investment Centre (TIC)

Shaaban Robert....

2019-05-03 17:10:00

2019-04-30 06:26:47
Copyright ?2018 Tanzania Investment Centre.
All Rights Reserved.
Designed, Developed, and Maintained by Tanzania Investment Centre(TIC)
3d316期历史上的今天